Mhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
Yap kibongo bongo hauoni anajitangaza.Hivi ustaa ni ngono tu !
Sio kwa awamu hii, ya Magufuli..Laki tano kila siku, kwa mwezi anakunja 15m kwa kutoa hiyo papua tu?
Haya
Labda ndio anaehonga nusu M kila sikuHivi Gadna nae anatoa huo mshiko kila siku?