Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Laki tano labda alipewa na Gardiner juzi juzi baada ya kupewa mkataba na crouds .. 20000 tu huyu unamtimbinyula
 
TCRA ina kazi kwa kweli....
Mie hofu yangu ni kiwango cha kufikiri cha huyo mtangazaji na aina yake ya maswali.....
 
Khaah! Hii story inawafaa WANAUME WA DAR, Ngoja nisepe zangu.
 
Laki tano Daily lakini hela zote anaweka benki anashindwa hata kununua chupi avae. Mwambieni aache kubana matumizi anunue nguo.
 
Anavyoonekana tu huyu ni mawingu nati zimelegea mwanamke yeyote mwenye akili awezi sema hivyo ata awe Malaya kiasi gani huyo ni mawingu Na ndio dau lake kubwa analotaka alipwe sasa maana kuna ney wanampa 20
 
Kama laki 5 kila siku, ilikuwaje akalalamika kwa ney
 
Teh teh..Huyu unachat nae leo kesho anakuanika mitandaoni..Hana dogo kabisa

Huyu dada show off sana, nafikiri ni mbinu yake ya kuongeza wateja, na anaposema eti walinitongoza kupitia insta ni kama anatujulisha kwamba anapatikana kwa njia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…