Gigy Money: Nivae nguo ya ndani ya nini?

sioni kama ana tofauti yeyote kumzidi mke wangu. hasa akisimama namwona kama katoka manzese vile. mshamba tu huyu.
Una maana gani hana tofauti kumzidi mkeo...??😀😀...
 
Sasa mkuu sisi wanaume tunafuata yule anaye gawa!
Hao waliotulia hawagawi wanatupotezea muda tu!
 
Huyu huwa simshangai maana dishi lilishayumba.
Ukiniuliza kati ya Rayc na Gigy nani ana afya ya akili nitakwambia Rayc...
Ni Bora kichaa anaye pata matibabu kuliko kichaa anaye achwa mtaani ana zunguka.
 
Sokoni leo.

Mauzo ya K ya Kinyakyusu yameuzwa kwa tsh. 1,500/=

Kushuka kwa thamani K ni kutokana na kila mtu kuitumia.
 

naungana nawe mkuu, ila kuna siku moja kabla cjaanza kula pweza kuna rafiki yangu tulikuwa tukitoka kwenye mazoezi uwanjani anakimbia fasta ananunua vipande viwili na supu twarudi home, siku moja nkamuuliza kwa nini unapenda kula vitu vya ajabu ajabu akanijibu HAKIKA UKIONJA SIKU MOJA TUU HUTAACHA, kesho yake nilianza kuonja bila supu, hadi sasa sijaacha.
Point ya kujifunza. usionje mastaa au wadada nje ya mkeo utakwenda na maji mkuu, wala usilaumu mtu...
 
hawa usikute wanashinda kwa waganga kuongeza mvuto mkuu! ndo maana wanatuteka wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…