Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Miaka ya nyuma kidogo huyu Amber Lulu alikuwa changudoa mchafu mchafu anadanga hapo ambiance ,miguu haieleweki imekomaa komaa ,sura nzito kama futari ya magimbi, tumbo kubwa,maziwa yametepeta kama bdala yani kwa kifupi alikuwa kama beki tatu kutoka hukooo wanapokula nyama ya mbwa.
Amber Lulu kupitia kudanga danga kwake akapata bahati ya kujuana na Gigy enzi hizo Gigy anajina , Gigy akaanza kumfundisha ujanja Amber Lulu kwa kumbadilisha kwanza muonekano krimu kwa sana ,madawa ya kupunguza tumbo ya kila aina Amber alikunywa ili angalau awe na mvuto.
Baada ya hapo Gigy akaanza kumuunganishia kwa wachati Amber Lulu ,Amber Lulu baada ya kuanza kupata visenti na kijina wakaanza kuvimbiana na Gigy na kuanza tabia ya kuibiana wachati .
Hiyo tabia ya kuibiana wachati ikaenda mwisho wakakaa chini kupata usuluhisho kila mmoja hakuna kuingilia danga la mwenzake.
Mpaka wanafikia pointi hiyo Amber alikuwa ameshapata connection zaidi za madanga yenye pesa kwa hiyo akampiga gepu kubwa sana Gigy .
Gigy wivu ukamuingia akaanza kujitongozesha kwa Diamond lakini wapi akaishia kugonga ukuta.
Maskini ya Mungu siku hizi Gigy ameanza kudanga cheap cheap hata kwa elfu 50 unalala naye bila shida kabisa jinsi maisha yalivyuomchakaza .Mbaya zaidi siku hizi ameanza kuiga muonekano wa Amber Lulu yani kamfanya Amber kama ndiye role model wake wakati kiuhalisia yeye ndiye aliyemfundisha kudanga Amber.