Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahahahaha hapo nimekubali, umepiga bao baba'ke!! Halafu safari ya wapi? Lucky Lounge au ndio mambo ya pizza delivery!? LOL..
Duh!! Bonge la schedule baba'ke! Mimi tena nilie au Rev. Kishoka!?? Maana nasikia jamaa (Kishoka) hata suruali hawezi kuvaa kwasababu ya busha, anashinda na kikoi (msuli) hahahaha...akipita mitaani watoto wanamwimbia, "babu mpira wetu."!! LOL
Mkuu Rev,
Mambo ya wazazi hasa MAMA nishai kuyaingiza ktk haya malumbano ya hapa JF! Usikubali kuingia kwa mtego wa "cyber-disinhibition," (google ujiridhishe.....kuna ka-text katamu sana ka Daniel Goleman) kuwa na control ya kile unachoongea! I'm not happy kwa kunikashfia wazazi.....utani ni baina yetu, hao wengine hawausiki!!
By the way nasikia busha lako limeota vimiguu bwahahahaha.....
Uwe na adabu...ebo!!
Rev,
Sio wewe tu hujapata hiyo "kavasiye," hata Pundit hajapata suti yake aloahidiwa!! NN nae ni mzushi tu kama wewe....LOL