Gin Wijnaldum kutimkia Barcelona

Gin Wijnaldum kutimkia Barcelona

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
FC Barcelona wamefikia makubaliano ya mdomo na agent wa WIJNALDUM na ataitumikia timu hiyo mpka 2024. Siku zijazo atasaini mkataba wake na maongezi yanaendelea kuona namna gani atapunguziwa mshahara wake. Bayern na PSG zilikua zinamtaka mchezaji huyo.

IMG_20210526_131918.jpg
 
Hawa Barcelona kwa kweli wanaendelea kupoteza muelekeo
 
Back
Top Bottom