FC Barcelona wamefikia makubaliano ya mdomo na agent wa WIJNALDUM na ataitumikia timu hiyo mpka 2024. Siku zijazo atasaini mkataba wake na maongezi yanaendelea kuona namna gani atapunguziwa mshahara wake. Bayern na PSG zilikua zinamtaka mchezaji huyo.