[emoji3][emoji3]Mbele ya fedha ni Handsome.
Hahaha kuzoza nimelitumia sana hilo.Yaah kila zama na kitabu chake terminology hubadilika pia kutokana na wakati kama kubonga na kuzoza ilikuwa kumtamkia bint mambo ya mapenzi sasa misemo imebadilika
RIP GINIMBI.Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya biashara hiyo ambayo ilimpa uzoefu mkubwa na kuanzisha kampuni yake mwenyewe ijulikanayo kama Pioneer Gases yenye matawi nchi tatu,Zimbabwe,Botswana na South Africa.
Kampuni ya Pioneer ina supply gas majumbani,kwenye viwanda na wauzaji wadogo wadogo mitaani.
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
Ginimbi ana miliki Majumba ya Kifahari yaliyopo Harare,Joz na Gabarone,pia anamiliki collection ya expensive cars RR,Autobiograph Range,Bentely,Lambo,Ferrari etc
Ginimbi akiwa Mbele ya Mansion yake ya Harare.
View attachment 675285
View attachment 675286
View attachment 675287
View attachment 675289
View attachment 675291
Mkewe Ginimbi Kushoto Akiwa Kwenye All White Party.
View attachment 675292
Range Rover(Black),Benz(Orange) na RR(Blue).
View attachment 675293
View attachment 675297
Ginimbi Akiwa na Walinzi wake Binafsi Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe.
View attachment 675298
Ginimbi akionyesha magari ya kifahari zaidi ya 8 mbele ya Mansion lake Jingine.
View attachment 675299
View attachment 675301
Unaweza Ukaangalia Cars Collection kwenye Youtube Link.
Kwenye bio yake kasema yeye sio Forex traderAtakua anatrade forex....
I tell you one thing my brother.Very true coz kuna jamaa napiganae kaz wizara flani ivi akavuta Ist mpya wakat mishahara yetu imeandamwa na ma bank makato daily kumbe upande wapili ni criminal sasa anafaidi utamu wa gereza
Mkuu heb share link nikacheke na mm huko maana wengine mambo serious sio vipaji vyetuHaha wabongo wanajua siri zao hahaha..huoni kuna thread mdau kaanzisha bas kila mtu anasema siri ya tajiri anayemjua hapa bongo hahaa vichekesho.
Ila maisha ya mTanzania magumuVery true coz kuna jamaa napiganae kaz wizara flani ivi akavuta Ist mpya wakat mishahara yetu imeandamwa na ma bank makato daily kumbe upande wapili ni criminal sasa anafaidi utamu wa gereza
Sisi tuliofanywa malofa na muhutu mnatuongezea hasira. Walau mwizi huyu ama zake ama zetu awamu hii.Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya biashara hiyo ambayo ilimpa uzoefu mkubwa na kuanzisha kampuni yake mwenyewe ijulikanayo kama Pioneer Gases yenye matawi nchi tatu,Zimbabwe,Botswana na South Africa.
Kampuni ya Pioneer ina supply gas majumbani,kwenye viwanda na wauzaji wadogo wadogo mitaani.
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
Ginimbi ana miliki Majumba ya Kifahari yaliyopo Harare,Joz na Gabarone,pia anamiliki collection ya expensive cars RR,Autobiograph Range,Bentely,Lambo,Ferrari etc
Ginimbi akiwa Mbele ya Mansion yake ya Harare.
View attachment 675285
View attachment 675286
View attachment 675287
View attachment 675289
View attachment 675291
Mkewe Ginimbi Kushoto Akiwa Kwenye All White Party.
View attachment 675292
Range Rover(Black),Benz(Orange) na RR(Blue).
View attachment 675293
View attachment 675297
Ginimbi Akiwa na Walinzi wake Binafsi Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe.
View attachment 675298
Ginimbi akionyesha magari ya kifahari zaidi ya 8 mbele ya Mansion lake Jingine.
View attachment 675299
View attachment 675301
Unaweza Ukaangalia Cars Collection kwenye Youtube Link.
A mere IST imagine[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Ila maisha ya mTanzania magumu
imagine unafanya kazi wizarani Ila kuvuta ka IST ka 12M tayari unatiliwa mashaka
Kumbe saa ingine bongo inachaji[emoji122]I tell you one thing my brother.
Utajiri wa aina hio hapa Africa hauji kwa clean money its either ucheze na system za serikali uwe unakwepa kodi kweli kweli na hata hivyo pia itachukua miaka kadhaa ama upige dili chafu kama za kuuza unga ama utapeli wa madini...Vinginevyo utumie njia za giza kufanya makafara ambayo pia mwisho utaishia kufa kifo kibaya sana.Hizo ndio njia pekee za kuwa na utajiri wa mansions na kujaza magari uwani.
Kwa kufanya kazi halali labda uwe na kipaji ufanikiwe kuwa mwanamuziki wa kimataifa ama athlete kama Samatta.Upate kufanya performance kubwa ulimwenguni ambapo pia huwa kuna gharama zake kupitia mikataba ya kishetani.
sawa ms Ginimbi[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]fala mwenyewe
Haya Ja rulesawa ms Ginimbi
Haahaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona anajitutumua kama siyo tajiri,,, simuu tuuu! ni km msimamizi wa tajiri? mara akalie kigari, mara pyuu! hana sura ya utajiri huyu!!! haumpendezei! alifaa kuwa mlinzi wa gate! hana mvuto kw majambazi,
siku wangemvamia kwake wanemuuliza tajiri wako yuko wapi? tuonyeshe anapo lala? sura ya kitajiri ni km mimi hp! watu kuniona tu wakaanza Oooh Umefilisika ulikuwaa unaringa na migari bab kubwa mi V 8, Range rover nk! na mimi nikakazia hapohapo ... yule mwenzangu alikuwa mvujaji sana! lkn mwezi ujao naagiza gari 2...
Mleta mada tukuangalie upya matumizi mabaya ya ubilionea! mna tuchafulia taaluma zetu!
utakatiwa mshahara, una hamishwa kitengo, unapangwa zamu za hovyo ili ushindwe, mara huna nidhamu utaacha tu kazi Mara mkeo anakuchomea kwa Boss kuwa unakula rushwa kisa tu unambania pesa ya kusuka nywele saloon!Ila maisha ya mTanzania magumu
imagine unafanya kazi wizarani Ila kuvuta ka IST ka 12M tayari unatiliwa mashaka