Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Yaani umefanana na fweza hadi kero
 

halafu ukweli mchungu watu black ebony huwa hatupendezi kuvaa vito,haijalishi ni vya thamani kiasi gani.

utakuta mmatumbi anavaa magold ya $$$$ nyingi,mara masilva kibaoo,mwisho wa picha anakuwa kama nembo ya taifa[emoji853].

rip tajiri.
 
Ndugu yake kidukulilo
 
Nikiwa niko chuo nikakutana na mdau flani kwenye seminar alikuja na ndinga kali kwenye kusalimiana nikampiga kiswali jinsi alivyokusanya mpunga hata kuendesha mali ya mwingereza kwenye ardhi ya Tanganyika aisee yule jamaa alikuwa ananieleza vitu ambavyo havi-make sense nikagundua watu waliotoboa kwa njia halali ni wachache sana .
Wengine atakutia kamba alianza kama muuza nguo sasa hivi ana miradi yake ila hakupi behind the scenes watu wana makafara,watu wamechafukwa roho kwa mambo waliyofanya kupata utajiri.
 
Hata wazungu wakiona picha hz wanapata wivu,1984!........ila Haya maisha ukipata hela ya kula,kununulia nguo na kupata kausafiri kama kapikipik inatosha
 
Ginimbi daaah Rest in Peace, kuna jamaa huku nimeona amesema mali sio zake , nataka nimwambie mali ni zake sababu mimi personally i have been to zim na hizo nchi za south, Watu wenye hela south wanapenda ufahari just imagine kuna mtu ana buggati zim YA USD $ 3.4 million, mzee huu ni nusu au robo tatu ya utajiri wa diamond alafu sio mmoja nnae mjua mtu mweusi ni FRANK BUYANGA....

Wana ni inspire sana wazee tutafute ela kwanguvu, do whatever you can make sure you have money at all cost wakuu,

Ngoja niwaambie kitu wakuu ACHEN KUHATE , comment nyingi zinaHate, What these guys are should inspire us do grind more and more.....



 
Tu grind more and more


Ayseee tatizo Connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…