Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 8, 2013 #2 Ni mzizi wa mti gani?
N Nyrum Senior Member Joined Aug 11, 2013 Posts 124 Reaction score 41 Dec 8, 2013 #3 Yec naijua hyo dawa, ni ya asili ya korea. Imetengenezwa ktk tablets. Ni nzur sana kwa ubongo. Inapatkana ktk kampuni inaitwa Greenworld. Uktaka zaid niPM. Karibu,
Yec naijua hyo dawa, ni ya asili ya korea. Imetengenezwa ktk tablets. Ni nzur sana kwa ubongo. Inapatkana ktk kampuni inaitwa Greenworld. Uktaka zaid niPM. Karibu,
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,667 Dec 10, 2013 #4 Unatatizo la kusahau mbona hiyo dawa unaikumbuka?