hawa ma-alhaji inaonekana wanawasasambua sana hawa mabinti wa ki-nigeria kwa style ya ma-pedejee... halafu unaweza kukuta kuna connotations za kichawi katika hiyo deal... anyway, kazi kwenu girls kusuka au kunyoa, kupenda mwanaume pesa au mwanaume suruali