Girl friend wa kubadilishana mawazo

Girl friend wa kubadilishana mawazo

mpiga era

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,078
Reaction score
2,266
Kichwa cha habari kinasadifu hapo. Aliye serious but awe single maana naogopa foleni
 
Dogo matokeo yametamgazwa Leo, una division ngapi mpaka utake kubadilisha mawazo yako na ya mwingine?
 
Wewe unataka girlfriend au wewe ndiyo girlfriend hivyo unajinadi kua wewe ni girlfriend wa kubadilishana mawazo?
 
Wewe unataka girlfriend au wewe ndiyo girlfriend hivyo unajinadi kua wewe ni girlfriend wa kubadilishana mawazo?
Nahitaji girl friend wa kuwa tunabadilishana mawazo ya hapa na pale ila aliye serious maana sitaki mwisho wa siku

Kulia na mapenzi
 
Nahitaji girl friend wa kuwa tunabadilishana mawazo ya hapa na pale ila aliye serious maana sitaki mwisho wa siku

Kulia na mapenzi
Usitarajie mwanamke wa chini ya miaka 30 humu
 
Back
Top Bottom