Girl Lover

PMNBuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
967
Reaction score
154
Mimi nahitaji msichana mwenye sifa ambazo naye najiona kuwa anastahili. Mf. Mrefu kiasi, mweupe kiasi, asitumie mkorogo, asiwe na chunusichunusi, asiwe mapepe... Awe anapatikana au awe tayari kukutana nami kila weekend, tuwe wote kwa muda wa mwaka mmoja halafu tunaweza kufunga ndoa. Umri 20-25 yrs. Karibu uni-PM, tuchat zaidi. Umri wangu ni 32.
 
Na huyo msichana hana haki ya kukujua na wewe unafanana na nani? dini gani,kabila gani ebu anza tena kuiandika CV yako.....
 
Wanaume siku zote CV zao ni nzuri. Hakuna mwanaume mbaya wa sura duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…