Fredmaty Zach.
Member
- Jul 26, 2012
- 51
- 6
hicho kimeo....ndoa ndani ya miezi miwili.....? na ni msichana ndio anadai....?....stuka jombaa....hakuna kitu hapo......
kaka umeoona, limekuwa swala gumu dats y nimeamua kuweka mezani. Preta
hicho kimeo....ndoa ndani ya miezi miwili.....? na ni msichana ndio anadai....?....stuka jombaa....hakuna kitu hapo......
Mkuu Fredmaty, Preta ni mdada na si mkaka. Angalia avatar yake na michango yake mingi humu. So edit post yako.