Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wadau kuna mdada nadate naye ni kichefuchefu sana. Haya mambo yananipa ukakasi sana wa kusonga naye mbele.
1. Hana romantic language yaani huyu dada ana maneno magumu sijapata ona siku anakuja home namwelekeza na mtu wa bajaji, tena first day ananambia "bwana eeh kama vipi mi nageuza zangu homu sitaki shida mimi. Tumenyanduana anaanza lalamika. "Kojoa bwana mi nshachoka kama vipi tuache mi nshamaliza we unataka nini sasa?"
2. Ulalamishi. Analalamika sijapata kuona utasema mama alokosa mwana. Imagine sijamsalimia toka jana leo katuma meseji "nilivokumbia nipo period naona hata kunitafuta hutaki. Kama vipi tuachane bana"
Nami nikaona ujinga huu sasa. Nikamjibu "sawa nadhani ni jambo la busara" zimekuja meseji hizo.
"Nilijua tu ndio ulichokuwa unataka baada ya kuni**mba sasa unaona sina maana, wewe malaya sana na nakwambia ujaribu kuniacha kama sijaja kukuharibia kwa demu wako mpya. Utachezea hao hao sio mimi"
Nimeshangaa sababu yeye ndo ali-suggest tuachane hata saa moja halijapita yanakuwa maneno tena.
Huyu girlfriend anakata stimu sana, kwanza ni kisirani hata wakati wa kunyanduana anatukana sana. Alinishtua anamaliza kwa kunitukana siku hiyo anasema "we xxxxx ms*ge sana, we fala endelea hivyo hivyo, mse** weeee.... " huku ananikamata shingoni akimaliza, nlikwazika sijawahi tukanwa hivyo.
Akipigiwa simu akapokea anaongea na wenzie wakamzingua utasikia "we **ma masikhara yako kafanyie huko huko ntakutia **dole hadi machoni mbwa wewe"
Hapo nlimwambia hiyo lugha mimi sipendezi nayo, alichonijibu sasa " na wewe usitake kunzingua sasa hivi niache kabisaaaa staki mambo ya kifala mimi, kama unaona nakuboa mi nisepe zangu tu" nikamwambia "yes you can leave"
Akainuka akabeba vitu vyake akaondoka. Haukupita muda zikaanza kuingia text za kulalamika kuwa namnyanyasa sababu nimemzidi Elimu, mwanaume gani nina mambo ya kibraza man, anajuta why alinipa **chi wake.
Kiufupi nimechoka naye huyu dada, ni kichefu chefu kweli. Ana body nzuri hasa na sura, very attractive. Elimu yake Diploma ya Uhasibu hapo Kurasini. But ni mswahili sana. Ananikwaza kwa hayo mambo yake.
Akitaka kunyanduana hapo atatuma text "leo nataka tukato***ne" huwa hana maneno mengi. Ila shida yake mtaenda akimaliza tena kwa matusi kwako uliyemmalizisha basi hana hamu tena anataka nawe umalize mchezo.ukiwa mbishi anachomoa analala.hataki umguse.
Ni very kichefuchefu huyu demu, hapo ananambia nikajitambulishe kwao tuwe wachumba. Namtizama nasema hiii..... Sioni mke hapo.