Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza wanafunzi wenyewe je ? faida gani mnapata toka kwenye huo uhusiano?Inawasaidia kwenye masomo kimaendeleo? Halafu niwaulize wazazi wenu,je mzazi unaruhusu mtoto wako awe na boyfiend au girlfriend shuleni? Kwanini?
tall, sasa humu wanafunzi watakuwepo kweli? hasa wale unaowaongelea wa sekondari?
lakini hivi vibinti usipokuwa makini vinaliwa bana.hapo sasa....
lakini kwa upande wa mzazi au mlezi, dah napata ugumu sana (labda na malezi niliyolelewa yamechangia), kwa kweli siwezi kuruhusu hilo, tena mtoto yuko O'level aniambie au nigundue ati so n so ni boyfriend wa mwanao...........agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
lakini hivi vibinti usipokuwa makini vinaliwa bana.
Issue ni kuviweka bize tu vikiwa home, ratiba kama ya seminari....kusoma, kufanya kazi za nyumbani, kucheza.....lazima awe na mchezo physical...mambo ya kusema nasoma novel ndo hobby, sitaki, novel atasoma na michezo/mazoezi physical atafanya.
..Mkuu una katoto ka kike?? Unajua unless kama kanasoma boarding school then unaweza kufanya hayo unayosema. Lakini kama yuko day school jioni anarudi nyumbani utakuta mazoezi na kila kitu kamemalizia huko huko kakifika home sura kavu kama dagaa!!!lakini hivi vibinti usipokuwa makini vinaliwa bana.
Issue ni kuviweka bize tu vikiwa home, ratiba kama ya seminari....kusoma, kufanya kazi za nyumbani, kucheza.....lazima awe na mchezo physical...mambo ya kusema nasoma novel ndo hobby, sitaki, novel atasoma na michezo/mazoezi physical atafanya.
Ni heri mambo yawe tite ili atumie ujanja mwingine kufanya upuuzi wake hali akijua home ujinga ujinga hauna nafasi. Kwanza ukitoa ratiba tite hata muda wa kufanya ujanja unapungua sana. Watoto wana muda mwingi wako idle ndio maana wanakua bize na mapenzi(bf/gf) wakiwa wadogo mno.hahaaaa wangu umenifurahisha sana, mi jana I came out with the "house rules"
am just not comfortable bana so kabla sijaua bora niwape tahadhari kabisa.....nimepanga ratiba TITE bt mind you watoto wa dotcom ni wajanja ile mbaya...
..Mkuu una katoto ka kike?? Unajua unless kama kanasoma boarding school then unaweza kufanya hayo unayosema. Lakini kama yuko day school jioni anarudi nyumbani utakuta mazoezi na kila kitu kamemalizia huko huko kakifika home sura kavu kama dagaa!!!
Mi hapa kwa jinsi topic ilivyo, sijui nichangieje naombeni mawazo!
Ha ha ha!soma posts za watu then utapata cha kuchangia..nimeupenda ujumbe wa kwenye signature yako.Sasa utachanaje nywele wakati una kipara?
GS, hakuna kisichowezekana....at least kwa maneno rahisi kabisa
ndo naendelea kutafakari hapa..
wewe siku zote unadhani huwa humu ndani JF unasema/kuwasiliana na wakubwa wenzio tu? sasa subiri warudi shule wapitie pale internet cafe halafu uone majibu yao humu.Ninapoishi mimi internet cafe karibu zote utawakuta haohaohapo sasa....