😕
wewe siku zote unadhani huwa humu ndani JF unasema/kuwasiliana na wakubwa wenzio tu? sasa subiri warudi shule wapitie pale internet cafe halafu uone majibu yao humu.Ninapoishi mimi internet cafe karibu zote utawakuta haohao
Maybe am old-fashioned lkn this is a no-no. Mixing education and relationship at Secondary and High School is a receipe for failure. Wengine we are employed na relationship challenges kibao, now I can imagine students who do not even know what they want to become.
You will end up serving one master, and believe me it will not be your education. Wazazi na walezi habari ndo hiyo.
.......Watoto haswa hawa teenagers wala mzazi usijidanganye kwamba unamchunga au unampa ratiba ili awe busy........wapo very smart kiasi kwamba mzazi wala hutajua kama ana GF au BF.
Mimi nikija kuwa na mtoto awe wa kike au wa kiume, nikishaona amepevuka ni kiasi cha kuwa karibu naye na kumfanya ni rafiki yangu na kumueleza jinsi mambo ya mahusiano yanavyotakiwa kuwa.
Mzazi inabidi uongee na mtoto wako usimuonee haya kumpa sex education, maana kama hujamweleza ukweli wewe mzazi utakuja kuumbuka bure kwa kutomwambia ukweli mwanao kuhusu mahusiano.