Girlfriend needed.. wedding bells kulia ni matokeo

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Mamboz?

Nimeamua nijaribu chance na hapa as huwez jua ya Mungu mengi.. Nami humu jamiiforums natafuta partner.. Just for chatting, having fun mambo yakienda poa malavidavi and later wedding bells... ( Mnaosema tafuta ofisin, vyuon na kwingineko kote huko msako unaendelea sio hapa tu)

Ngoja nianze na vigezo ( maana nisipoweka nitaanza kuulizwa ulizwa hapa inakuaje)

Elimu ni graduate first degree, business related and certified by proffessional board.

Ajira niko employed na private company ( proffessional service industry.. so ka income ka kunitosha mimi kuishi maisha ya kati labda na sweet heart kiaina, sio kama nimetoboa nop bado naunga unga tu so akija na mwenzangu tusaidiane kuunga unga pamoja na kaupendo kakiwepo cha kiaina hatuchelewi kutokea mabwebande huko na kamjengo lol

3. Umri 26 years of age

4. Dini mkristo- lutheran

5 height almost 6.5 ft

6. Weakness napenda sana bia japokuwa silewi but kwa siku bila 4 silali, video games addicted, workholic sometimes as kazi zina presha sana,

Sifa za mtarajiwa itapendeza tusipishane sana na nilizonazo as rahisi ku couple

Thanks and best regards

MKATA KIU
 
Kabila hujawekaa!!!!!! Hizi sifa ungeni PM TUU HOW COULD I BE UNECESSARLY RUDE TO SAY NO!!!!!!!! Sababu ulishamwaga mtama kwenye kuku wengi baaaaaaaaass!! Mi ushindani siuwezi banaaaa.! Ngoja niwaachie wenye visu vikali, mi nitashudia tu.

Roho inaniuma sanaaa lili fortune la mama mkata kiu nimelikosaaaa!!!! daaaaaaaaaah!
 
Wee Ciello unapitwa huku na AUDITOR!!!!!!!! Kaa mkao wa kapitishiwa INTERNAL AUDITS!! Sasa sijui Losses umsha ziimpare, contigent liabilities umemaliza na internal control ziko stand by!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
We mwana una hatari weye,mwenzio mafail mengi yako mezani na yote yanahitajika haraka, so am kind full loaded, ka vp we jitose 2u never know!!!
Wee Ciello unapitwa huku na AUDITOR!!!!!!!! Kaa mkao wa kapitishiwa INTERNAL AUDITS!! Sasa sijui Losses umsha ziimpare, contigent liabilities umemaliza na internal control ziko stand by!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji hata wa kutoka Nigeria? Sema tukutumie ila wakikuchuna usitulaumu.
 
Ha ha ha, mtoto wa kiswahili atachunwa vp? Halafu ata kuchuna atachuna nini wakati ngozi ya kitimoto, full arosto..
 
Kabila hujawekaa!!!!!! Hizi sifa ungeni PM TUU HOW COULD I BE UNECESSARLY RUDE TO SAY NO!!!!!!!! Sababu ulishamwaga mtama kwenye kuku wengi baaaaaaaaass!! Mi ushindani siuwezi banaaaa.! Ngoja niwaachie wenye visu vikali, mi nitashudia tu.

Roho inaniuma sanaaa lili fortune la mama mkata kiu nimelikosaaaa!!!! daaaaaaaaaah!

Si unajua sheria ya zabuni inavyosema, lazima ushindanishwe kwa vigezo ( pitia procurement act 2007, section 3c utanielewa) just a joke..

Mi we sikuwezi maana maisha ya kuunga unga haya lazima nitafute ndege mtulivu as hata dagaa ye kwake poa tu
 
Wale wale wakina domo zege, alafu inaelekea unapenda kuhonga saana,
Sijui ukikutana na sura mong'o inakuwaje, ndo mambo ya kukimbiana hayo
 
Wee Ciello unapitwa huku na AUDITOR!!!!!!!! Kaa mkao wa kapitishiwa INTERNAL AUDITS!! Sasa sijui Losses umsha ziimpare, contigent liabilities umemaliza na internal control ziko stand by!!!!!!!!!!

Hilo nalo neno, expenditures lazima ziambatane na supporting documents.. Sio blah blah mara gengen hawatoi risiti,, utaratibu wa kufanya retirement na voucher zote utazoandikia kwa ajili ya matumizi tutaziweka kwenye family file ili iwe rahisi kuzipitia kila mwisho wa mwaka...
 
Last edited by a moderator:
Wale wale wakina domo zege, alafu inaelekea unapenda kuhonga saana,
Sijui ukikutana na sura mong'o inakuwaje, ndo mambo ya kukimbiana hayo

Ndo ulivyokalilishwa? Wapi nimesema ninahonga mtu,, also unajua meaning of life partner? that's why msako nimeuweka sehem tofauti, this is a serious issue bwa mdogo you have to try various options wisely...

Soma vizuri thread hiyo ndo uje utoe comment, Ila sishangai Watu kama nyinyi hamkosekani kila sehem Hata kwetu wapo
 
Wale wale wakina domo zege, alafu inaelekea unapenda kuhonga saana,
Sijui ukikutana na sura mong'o inakuwaje, ndo mambo ya kukimbiana hayo

Huyu BAHILI KAMA NINI, amuhonge nani!!!! HAPO STORY TU KULA KWENU!!!!!!!!!!!!
 
Wa kuonga kina papaa mende, sijui msofe as hela zao ni easy money na hazina mipango,, mi sikuhongi than playin my part as a Man, to make sure my girl yupo secured socially na financially tena kwenye basic needs, ila mambo ya I phone 5 siyawezi kwa muda huu labda ujinunulie as income ipo budgeted sana as umri wa kuweka mambo sawa ndo huu.. Sasa tukianza kutumia hela kwenye gadgets then tuoane tukaish chumba kimoja cha kupanga sijui viwili ni ujinga

Mambo ni kujibana siku moja moja vacations za kufa mtu, then tunarudi kuhustle mwisho wa siku maisha yanasogea.. Siku moja moja trips za majuu zikitokea ndo gifts za hayo ma I phone 5 yanakuwepo as kule bei ni reasonable na huwez kutoka safar bila gifts kwa your loved ones
 
Hahahaaaaaa! MKATA KIU TUMIA PESA IKUZOEEEEE!!!!!!!!! Ujue the funny thing abt money, ukiwa na akiba hupati nyingine zaidi, unakuwa kama stuck!!!!!!!!!! Ila ukispend hadi ukahamaki utafanyaje washangaa wapata tu mapene. Wenyewe wadhungu wanasema GIVE AND SPEND AND GOD WILL SEND!!!!!!!!!!!!! Upo hapo!!!!!!!!!!
 
Hiyo mistake siwezi ifanya tena kijinga jinga, kuna kipindi nilipata sana hela nikawa na theory yako, hata wakati naanza kazi ilikuwa ni noma but mmmh mmh kuna kitu kimenibadilisha sana perceptions,, you have to invest lara 1 you never know challengw gani utakutana nayo maishan na ukitegemea watu kukuchangia wanachanga kidogo kwa kulalamika wakati we hali tete,, but kama una investment zako si haba zinakukomboa.. Maisha hayaeleweki,,, so tumia pesa yako kwa umakini wangu... Kuna wakati wa kulia na kuomboleza usiombe ukakuta huna kitu wala investment ya kukuokoa
 
Hahahaaaaaa! MKATA KIU TUMIA PESA IKUZOEEEEE!!!!!!!!! Ujue the funny thing abt money, ukiwa na akiba hupati nyingine zaidi, unakuwa kama stuck!!!!!!!!!! Ila ukispend hadi ukahamaki utafanyaje washangaa wapata tu mapene. Wenyewe wadhungu wanasema GIVE AND SPEND AND GOD WILL SEND!!!!!!!!!!!!! Upo hapo!!!!!!!!!!

Kuna kipindi miaka ya karibun mzazi ameshaumwa sana so trips za apollo ikawa kawaida kwake for kutafuta matibabu, kwa mwaka lazima atumie na almost million 30, za matibabu as trip ni kila mwaka za check up na surgery,radiotherapy etc,, sasa hapo ndo nikaona umuhim wa kujiweka sawa as vikodi vyote vya nyumba zake town zikaelekezwa huko, ndo zinaokoa jahazi.. Assume angekuwa hana income yeyote ingekuaje..

Ukisema watu wachange wanachanga elfu 10 wakati we unahitaj 50 million tena haraka,,,, so yakikukuta hayo unadata n kujipanga mihimu wangu maana kwenye maisha challenges kibao tena usiombe za ugonjwa zikukute na bongo hospital magumashi... So my money haitoki kwenye ujinga kirahisi although bia kama kawa as zinanipa amani na furaha
 
Back
Top Bottom