Girlfriend-to-wife seriously wanted

sambara

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Habari za leo wana JF.

Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee mbele pale kila mmoja wetu atakapojiridhisha. Na ninaposema tufahamiane simaanishi tufanye ufuska.

Mimi ni mwanaume wa miaka 30, nina elimu ya Chuo kikuu, na nimeajiriwa. Ninatafuta rafiki wa kike ambaye angependa kujenga mahusiano yenye lengo la kuwa wanandoa.

Awe Mkristo, elimu ya kidato cha nne na kuendelea na umri usiozidi miaka 30. Mengine yote nitajadili moja kwa moja na mhusika. Kwa yule aliye serious tu anitumie PM.
 
Kwa kipindi hiki tegemea kupata mmoja kati ya wanaotoka "shugarei" au "kona baa"
 
Kwa kipindi hiki tegemea kupata mmoja kati ya wanaotoka "shugarei" au "kona baa"
Teh teh teh shugaray tu hapo maana kona baa imefungwa na dc wa kinondoni
 
Unasema wa form 4 na kuendelea...vipi wa darasa la 7?
 
Wa mtaani kwenu ,shule zote ulizosoma na kote ulikopita umewashindwa !!HAWA WA MITANDAONI UTAWAWEZA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…