Girlfriend wangu ametekwa,alazimishwa kufanya mapenzi at a gun point naombeni ushauri

nikianza kufanya analysis ya hii thread naona kuna uongo mkubwa sana ...nani alikwambia kama katekwa maana simu alinyang'anywa ..je ameshatoka huko? ...ulijuaje ni huyo jamaa wa tabata kamteka? ..alimpeleka wapi? .... mpka sasa umechukua hatua gani? ...kama unajua ametekwa pale chuoni..hebu nipe mazingira ya utekwaji!
 
Kabla sijakushauri kwamba umuache ama laah, fanya uchunguzi kwanza kuthibitisha kwamba alibakwa. Akupe hata nambari ya RB ukathibitishe polisi. Ila nahisi unapigwa changa la macho kwa kuwa ww umeshamwamini GF wako kwa kila anachokisema. Huyo mwanamke aliwahi kufanya kazi kitengo cha upelelezi? Anajuaje kama ishu ya polisi haina nguvu kwa sababu eti ameoga? Je anazifahamu mbinu zote wanazotumia wapelelezi wa polisi kumchunguza mhalifu?
 
Feedback kuhusu hili swala;huyu msichana ni mjamzito kutokana na hili tukio,hii sio hadithi kama baadhi ya watu wnavyodhani ni shigongo type this is really and am at a cross road here
 
Ww ni mwanaume mkuu kwanza demu wako kakudanganya sana hayo ni makubaliano kabisa sema baada ya ww kushtuka ishu ikabidi aibadili kwamba alibakwa tena huku kashikiwa bastola,muongo mkubwa japo uamuzi ni wako kama vipi mpoteze haujazaliwa nae bana utampata mwngn mwenye mapenzi ya kweli soon,achana nae ww mwambie amzalie tu Dokta mtoto wake sawa!
 
Alimtibu tangu yuko form two,na sasa yuko chuoni...................hivi madocta wanaotutibu huwa tunaendelea kuwasiliana nao mbali na tiba au nimeachwa sehemu hapa?Huoni kama walikuwa na jambo,au kuna ahadi aliwahi kumpa huyo docta miaka ya nyuma?We umelewa mapenzi ndugu yangu(japo si dhambi kupenda,na wala sikucheki)..........hebu amka kwanza usingizini...........
 
Feedback kuhusu hili swala;huyu msichana ni mjamzito kutokana na hili tukio,hii sio hadithi kama baadhi ya watu wnavyodhani ni shigongo type this is really and am at a cross road here
Mkuu
Ni ngumu kukushauri maana maswali muhimu mengi hujajibu ila labda tu sikiliza moyo wako na pili time is the best answer.
NB: Kumbuka kuwa mchunguzi na mdadisi ukiona kitu au ukiambiwa,samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa hili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…