Girlfriend wangu kapata division zero

Girlfriend wangu kapata division zero

mnyongeni

Senior Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
141
Reaction score
24
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,

Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.

Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.

Kapata division 0, ya 20. Kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?

Kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.

Naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.

Thanks
 
Da very sorry my Comrade Mnyongeni

Kwanza mfikishie ujumbe kwamba hajafeli maisha pili ndoto yake haijapotea bali imechelewa kidogo tu, hapa Iringa kunachuo kinaitwa RUCO wanatoa coz ya pharmacy cert na dip, pia anaweza akaanza na u nurse then akamalizia na u dr, ilembura tosa maganga songea kote huko kuna vyuo vya matabibu, aombe atapata tu coz o lever naona alifanya uzuri huu ndo ushauri wangu
 
Mwambie arudi hatua moja nyuma,aangalie wapi alikosea,ajipange tena upya...Mafanikio yaleeeee!
 
Kikubwa ni kujenga akilini mwake kuwa kufeli mtihani wa form six sio mwisho wa yote. Huwezi kujua, labda kuna vitu Mungu amemuandalia ambavyo haikumpasa kupitia hiyo njia aliyojipangia
 
kagame, jamaa kaomba ushaur..na kawaida hadi mtu kuomba ushaur anategemea ya ziada ya kumjenga...ni kweli ulyosema lakini mwambie afanye nin sasaa kwasababu ulieombwa ushaur na kukubal kuutoa unaonekana kuyajua vyema mambo hayo..yeye pengne sayans hakusoma, hajafutilia chochote kinachohusiana nayo. Na kumshaur dem wake ilikuwa ni kwa kile alichofaham ambacho kwako ni upuuzi. Hebu mpe mwelekeo
 
Last edited by a moderator:
Kama ni lazima mkeo awe Dr., huyo mpige chini, halafu unakamata kitu kingine ambacho kiko tayari ni Dr.au kinakaribia kumaliza u-Dr. Tatizo liko wapi?
 
Pole ndg!! Kama uchumi unaruhusu, aende Stashada (miaka 3), akimaliza ana uhakika wa kazi na malipo sio mabaya, baadaye anaweza kuendelea na shule. Shauriana nae kama akiwa tayari kusoma, na akiona hapati chuo, uje tukupe ushauri juu ya kuapata chuo. Mwambie asihofu! Asiogope...
 
Kama lengo lake ni kuwa Dr, mpige chini mwache aka- re-sit anaweza pata Div 1, akiwa Dr. mtafute muoe.
Sijui wewe ukiwa mtendaji wa kata kama atakutaka tena.
 
Kama lengo lake ni kuwa Dr, mpige chini mwache aka- re-sit anaweza pata Div 1, akiwa Dr. mtafute muoe.
Sijui wewe ukiwa mtendaji wa kata kama atakutaka tena.

somtime muwe mnaakti kama psycosociologist hata kama mmesomea hesabu. Huyo dada atageuka chizi na kuongeza mizigo hospitali na dawa hakuna. Unajua kupigwa pigwa chini ni risk factor ya kupata depression? Kama unampenda demu wako msaidie kutafuta alternative hata kama utamuacha baadaye. Muepushe kwanza na hii blow aliyoipata ili awe stable japo kidogo.
 
pole sana, huyo ni girl frnd wako 2 na sio mkeo xo waachie majumu hayo wazazi wake au sio wana JF?
 
1. Kaka umehusika kumfelisha...
2. Pcb ina wenyewe, tena sio kwa shule za serikali (exceptional kwa vipaji, nadhani ushaelewa)

ushauri

1 diploma
2 jeshi/police
3. Asijaribu ku reseat hiyo kitu. Atapa uchizi na biologocal science bs.
 
Ndo mitihani hiyo mkuu wewe muulize yeye anachagua nini.Ndo utapata pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom