mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
Wanajamvi hebu naombeni mnipe ushauri, coz nahisi unahitajika,
Rafiki yangu wa kike kamaliza form six moja ya shule za serikali.
Alikuwa anasoma combination ya PCB, ki maandalizi ya mtihani hayakuwa mabaya kwani alikuwa anasoma bording ya wasichana peke yake na hakuwa mzembe katika kujisomea na kuhakiki anafaulu, na mimi mwenyewe niliamini kabisa akifanya vibaya sana atapata division 3. ila matokeo yamekuja tofauti kabisa na matarajio yetu.
Kapata division 0, ya 20. Kimsingi ilituchanganya, kwani malengo na ndoto kama vilizimika hivi, na kujikuta tunaganda hata tumeshindwa la kufanya. MATOKEO YAKE YA FORM FOUR alipata division 2 nzuri tu, na lengo alitamani sana asomee u dr. wa watoto. hebu nawaomba wadau mnishauri nifanyeje kumsaidia atimize ndoto zake? za udr wa watoto?
Kwa maamuzi ya wazazi wake kwa sasa wamemwambia ajaribu kuapply vyuo vichache, kwani imebidi atumie matokeo ya form 4. ili asome diploma.
Naomba kama pia kuna chuo unachofahamu kinatoa mafunzo ya phamacy nipatie mawasiliano ya hicho chuo ili tuapply pia hata ushauri wako mwingine unahitajika.
Thanks