Sasa mpenzi unae hao girlfriends wa kaz gani why usitafute boyfriends mkapeana changamoto za kiumeHapana, mawazo yako tu. Ngono sina mpango nao kwa sasa, kama ni mpenzi ninae tayari.
Kuna vitu naweza ongea na girlfriend... Ila baadhi ya story najijua nakuwa more free to talk na msichana baki. Pia boyfriends napenda ambao tunaonana, but girl hata akiwa mbali tu naenjoy ku social nao. Tu ndio nilivo.Sasa mpenzi unae hao girlfriends wa kaz gani why usitafute boyfriends mkapeana changamoto za kiume