Girls Do You Agree!?

kwa koment zetu hizi na kusema tupo na uelewa mkubwa juu ya matakwa yetu na operation mzima wa mamabo ya ndoa ndiyo maana hatutakuja kufikia umri alioufikia huyu mama marehemu.
Mungu ailaza mahalai pema peponi: AMINA

sijakuelewa ulichokuwa unajaribu kusema....hebu rudia tena na lugha fasagha vile.......
hiyo ni jinsi mimi navyofikiria kama ww unafikiria different ni sawa tuu you don't have to be on same page na mimi.....umri wake aliofokia ni yeye na siyo kutokana na jinsi navyofikiria basi nitaishi maisha mafupi.....you never know unaweza act or think kama huyo bibi na still usiishi maisha aliyofikia yeye......
 
Haya tena wana harakati wa Beijing...! Tunawasubiria na maoni yenu.
 
Alikuwa mchawi huyu vete.
 
LOL!!! labda sio mimi, huo ni utumwa, i disagree ya yote, wacha ndoa ivunjike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…