Hamna mademu hawajui mapenzi mbali na utapeli (hela mbele) kama wa tanga!n!over
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Madame B,Hahaha mndele King'asti, ndo mana mpenzi Ben Saanane haishi tabasamu usoni mwake.
Chezea Tanga wewe.
Habarini wa ndugu, naomba humu ndani kama kuna mdada au kuna anayemfahamu dada yoyote mwenye maadili na mwenye kujielewa kutoka Tanga ani PM haraka, serious saana jamani
Habarini wa ndugu, naomba humu ndani kama kuna mdada au kuna anayemfahamu dada yoyote mwenye maadili na mwenye kujielewa kutoka Tanga ani PM haraka, serious saana jamani
me wa tanga unasemaje?
me wa tanga unasemaje?
chezea tanga wewe utagawa mpaka atm card..
chezea tanga wewe utagawa mpaka atm card..ndio mana ukiingia kuna kibao KARIBU TANGA ila hakuna KWAHERI TANGA.
Sasa mkuu hujaweka takwimu za unaemtafuta:
Nina ndugu chungu tele, jieleze vizuri tukusaidie.
- Mwenye umri gani
- Ana watoto au la
- Kaolewa / keshawahi kuolewa au la
- Elimu gani
- Bikra au la
- nk.
heheheheKumbe mko wengi hivi!??
- miaka 20 - 26
- asiwe nao
- asiyeolewa
- yoyote ila awe na upeo wa maisha na kujitambua
- vyovyote na akiwa bikra iwe orginal sio ya malimao na vim
- NK> awe na mwonekano mzuri na tabia / maadili ya kitanzania!! asiwe mnene wala mwembamba saaana
Halafu nilikuwa nakufikiria wewe, nilitaka kukuunganisha dada yangu nikakumbuka kumbe ulishaolewa.Mgosi onga ....tihaha ha wandee wa tanga....iwe uzaaga kwenyu?
asiyeolewa atakuwa hana uzoefu na mambo ya mahusiano, atakusumbua. Tafuta mwenye uzoefu, si unaona hata waajiri wanatafuta watu wenye uzoefu. teh teh teh.
- miaka 20 - 26
- asiwe nao
- asiyeolewa
- yoyote ila awe na upeo wa maisha na kujitambua
- vyovyote na akiwa bikra iwe orginal sio ya malimao na vim
- NK> awe na mwonekano mzuri na tabia / maadili ya kitanzania!! asiwe mnene wala mwembamba saaana
Duh,asiyeolewa atakuwa hana uzoefu na mambo ya mahusiano, atakusumbua. Tafuta mwenye uzoefu, si unaona hata waajiri wanatafuta watu wenye uzoefu. teh teh teh.
Sasa mkuu hujaweka takwimu za unaemtafuta:
- Mwenye umri gani
- Ana watoto au la
- Kaolewa / keshawahi kuolewa au la
- Elimu gani
- Bikra au la
- nk.
Nina ndugu chungu tele, jieleze vizuri tukusaidie.