Girls girls girls mhhh i have your attention now ( no men please :d)


Umesahau kigezo muhimu cha shule a.k.a Elimu ya muhusika.Hilo linamatter sana watu hawataki kuwa na mazezeta maaana unaweza ishia kuzaa mtoto aliye na maji matupu kichwani!
 
sidhani kama kuna mtu atapewa mapenzi ya kweli kabisa aache kutulia....tulieni wanaume....tatizo hamtulii maquestion mark meengi mnatuwekea kichwani...mnategemea tutakaa..pesa si kitu kaka ..antention!

Smile kuna siku moja nilikutana na habari moja Yahoo News iliyokuwa ikielezea samaki mmoja Wobbegong shark, aka carpet shark that has devours/swallow another shark, nilitazama picha tu ya tukio sikuwa na muda wa kusoma habari yote,ila kulikuwa na comments mbalimbali za wadau nikawa napitia..nilikutana na comment moja ilinifanya nicheke sana ilisomeka hivi ...."My first wife was a Wobbegong. I walked by. She sucked me in, swirled me around for 14 years and spit me out with nothing"
 
1)mapenzi ya kweli na uaminifu..
2)elimu na pesa kidogo ili tusaidiane kwenye maisha..
 
yap its hard to get real lov nw days many pipo wanaishia kusindikizana tuu
 
.................
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli..................

Hii mwanzoni ilikuwa ikinifanya niwakose sana, ila baada ya kufuzu kudanganya nilikuwa na-enjoy sana hadi nikaona inatosha!
 
issabela unasema kweli kabisa au bado haujayavaa mapenzi then mkazoeana ... Mungu akusaidie iwe hivyo
 
Wanawake hawajuagi wanachokitaka... Take it from me.. Na ukiapply walichosema hapa utalambwa kibuti fastaa..
 
hapo kwa rangi si kweli uko kwingine umepatia kidogo...

smile acha kudanganya, kweli kidume hakikufikishi utaendelea kuwa mwaminifu kwake??? hiki ni no 1 kwa kuvunja ndoa nakwambia. jamaa kajitahidi kupanga mambo sequentially
 
faithfulness naona imekuwa mimbo ya taifa kwenye hii thread,kwani kuna waaminifu mjini siku hizi? Mi naona bingo full usanii kwenye malavidavi
 
imeandikwa wapi???



 

Nakubali kabisa hasa hapo tatu za juu,
pia ongezea tena weka namba moja kupendwa kwa matendo ya ukarimu, kusikilizwa, kuheshimiwa, kujaliwa na ndugu zako, kuhurumiwa na kadhalika,


NB nyi wanaume kubalini tu kuwa huwa tunavumilia tu, hamuwezi kutupenda kikamilifu. hivyo lazima muheshimu pendo tunalowapa, kwani nyie hamuwezi kamwe kuwa wakamilifu
 
Mi huwa nazishangaa sana akili za wanawake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…