Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtu akiambiwa sura nzito, ni huwa sababu ya haya madude??Make up zinatesa sana..... unapakwa sijui mirangi saba Kwenye uso mmoja, ukitoka hapo kila kitu usoni kinakuwa kizito mpaka unajihisi sio wewe. Looking simple and natural is everything [emoji119][emoji119]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wacha kuwafariji mkuu, kuna wengine sio wazuri kwa kweli. Hata ww ukiambiwa kwa baadhi ya madem uchukue na pesa juu basi utakataa tu. Na kwa wanaume hali ni hiyo hiyo.Mm siku zote huwambia wanawake wote ni wazuri hakuna mwanamke mbaya ila wanazidiana tu, mm ukitia mawigi, sjui kucha za bandia, kukata nyusi nakuona ni wabandia na sikuoi
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
haya ni maneno ya mdada mzuri na mrembo kwa sura, maanaMake up zinatesa sana..... unapakwa sijui mirangi saba Kwenye uso mmoja, ukitoka hapo kila kitu usoni kinakuwa kizito mpaka unajihisi sio wewe. Looking simple and natural is everything [emoji119][emoji119]
Sent from my iPhone using JamiiForums
haya ni maneno ya mdada mzuri na mrembo kwa sura, maana
huwezi kuta mdada mwenye sura personal anaandika hii comment.
wadada wazuri wote husemaga wao wapo kawaida,ndio maneno yao hayo.Hahaaaa hahaaaa umenichekesha sana mkuu, mbona mimi nipo simple tuu sura ya baba[emoji4][emoji4]
wadada wazuri wote husemaga wao wapo kawaida,ndio maneno yao hayo.
ila mimi nakwambia mkuu ungekua na sura personal,makeup ungetumia tu.
Yani Mimi umri unavyozidi kusonga naona kabisa Kuna vitu navipunguza kwenye urembo..nilikuwa siwezi toka bila wanja na lipstick...imeenda nikaacha kupakaa wanja nikawa napaka lipstick tu...covid ilipowasili na uvaaji barakoa nikwa sipaki hata hiyo lipstick..Sasa nimezoea naweza toka bila chochote usoni na Sina hata habari..
😀😀 Mdoli...🤔
Haha..sawa bwana