Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Ebu tuoneshe huo ulemavu wakoTumekumbukwa japo dimple ni ulemavu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa wana upekee wao wana nafasi pana sana moyoni mwanguWanakuaga na aibu sana hawa
Yaani ulemavu huo nikiri ... umenitekaaTumekumbukwa japo dimple ni ulemavu [emoji28][emoji28][emoji28]
Mna nafasi kubwa sana moyoni mwanguπHatimaye zamu yetu imefika! πππ
Swadaktaaa hujakoseaVinakuwaga na roho safi
Kwani vinahitaji mpunga mkuuπKiongozi Salama
Thread Hii Ingesubiri Tufike 2022 Sasa Tupo Hovyo
Moja ya priorities zanguπNawapenda sana. Nimepata bahati ya kuwa nao
Tunashkuru sana π₯°π₯°π₯°Mna nafasi kubwa sana moyoni mwanguπ
Huyo hana dimples anamatobo halafu korofi kinoma..π€£Mna nafasi kubwa sana moyoni mwanguπ
π π π π π mkuu una ukorofi na watu ,, eti ana matoboπ πHuyo hana dimples anamatobo halafu korofi kinoma..π€£
Gaidi tu huyo..ππ π π π π mkuu una ukorofi na watu ,, eti ana matoboπ π
Unatafuta wa kumlalia huu usiku sioπHuyo hana dimples anamatobo halafu korofi kinoma..π€£
Anantafuta tu.. kanimissπ π π π π mkuu una ukorofi na watu ,, eti ana matoboπ π