Giroud ajiivunia kulingana magoli na Zidane

Giroud ajiivunia kulingana magoli na Zidane

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
wewe Giroud ni striker, wajibu wako ni kufunga, sasa hii imekaaje mze baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
FB_IMG_1528383354427.jpg
 
OLIVIER GIROUD... mnyama mkali.. France wanamhitaji sana wakati huu.
 
OLIVIER GIROUD... mnyama mkali.. France wanamhitaji sana wakati huu.
ila kufurahia kulingana magoli na midfielder wakati yeye ni striker ni wajibu wake kufunga... hapo kama kabugi vile[emoji23] [emoji23]
 
Huyu atakua kachanganyikiwa
Co bure
 
Zidane alikuwa Attacking Midfielder na sio Forward kama yeye 😀
 
ila kufurahia kulingana magoli na midfielder wakati yeye ni striker ni wajibu wake kufunga... hapo kama kabugi vile[emoji23] [emoji23]
Anachofurahia ni kufikia record ya magoli ya zidane... Lakin sio issue hawa ni madogo zake Zizzou
 
Back
Top Bottom