Giroud ajiivunia kulingana magoli na Zidane

OLIVIER GIROUD... mnyama mkali.. France wanamhitaji sana wakati huu.
 
OLIVIER GIROUD... mnyama mkali.. France wanamhitaji sana wakati huu.
ila kufurahia kulingana magoli na midfielder wakati yeye ni striker ni wajibu wake kufunga... hapo kama kabugi vile[emoji23] [emoji23]
 
Huyu atakua kachanganyikiwa
Co bure
 
Zidane alikuwa Attacking Midfielder na sio Forward kama yeye 😀
 
ila kufurahia kulingana magoli na midfielder wakati yeye ni striker ni wajibu wake kufunga... hapo kama kabugi vile[emoji23] [emoji23]
Anachofurahia ni kufikia record ya magoli ya zidane... Lakin sio issue hawa ni madogo zake Zizzou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…