Giroud alidharaulika na watoto wake kisa Mbappe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Olivier Giroud:

"Watoto wangu waliniuliza: Baba, unacheza na Kylian Mbappe timu moja?"

"Nikawajibu: ni kweli lakini yeye ndiye anayecheza na mimi timu moja... Wakacheka".

Hapa jamaa amedharaulika sana na watoto wake.
#football

Je Kuna tofauti ya sentence hizo mbili?
 
Ndio kuna utofauti.

Giroud kajibu kuwa, Mbappe ndiye aliyemkuta timu ya Taifa.

Watoto wake walimuuliza wakimaanisha kuwa ndiye aliyemkuta Mbappe timu ya Taifa
 
Ndio kuna utofauti.

Giroud kajibu kuwa, Mbappe ndiye aliyemkuta timu ya Taifa.

Watoto wake walimuuliza wakimaanisha kuwa ndiye aliyemkuta Mbappe timu ya Taifa
Hapo nahisi ni ukubwa ( umaarufu) kati ya wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…