give it to me ya belle9 ni level zingine

give it to me ya belle9 ni level zingine

Na hivi kaingizia swaga za Saida kama alivyofanya Kaka yao[emoji38]

Subiri washambuliaji wanakuja..
 
watu wamedhamiria kurudi kwa kishindo zile timu mbili zile inabidi zijipange.
wimbo muzure ila mkito nimesikia kama mwepesi hivi wangeuongeza kidogo.

video ipo powaaaaa!
 
Huyu belle9 kila siku ana shuka kiwango namshauri aombe chaka Wcb tu maana hakuna namna
 
Wimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu
 
Back
Top Bottom