Nyimbo ipi ambayo amewahi kutoa inaizidi hii?Hakuna kitu huo ni wimbo mbovu kabisa ukilinganisha na nyimbo ambazo amewai kutoa...
Kapandia kitongaWimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu