Give me sex

Think

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
71
Reaction score
1
Mapenzi ya siku hizi bila pesa ni uongo, na watu wanapo kosa pesa ya kujikimu au kumsaidia mpenzi wake basi muda mwingi huwaza kuwa akiwa nampenzi wake for sex ili asimkimbie na mwisho wa siku mapenzi hufa kwani yale mahitaji muhimu unakuta mwanaume hawezi kumtimzia mpenzi wake kwa kukosa pesa.

so is that ryt we need women for sex?

jamani tushauriane kwa hili
 
Kwanza wewe toa maoni yako, unalalia upande upi? Na uliza swali kwa jinsia zote. i.e wakina dada nyie mnaitajika kwa wanaume kwa ajili ya ngono 2?
 
pesa ndo kila kitu lkn mapenzi bila pesa ni sawa na kuwaza ngono unapokosa kazi ya kufanya mpwa.
 
No money No lov.But Money+Lov=mwemelemwemele.
 

Mi naomba nichangie kidogo hapo penye bold. Mapenzi ni complex na mapenzi bila pesa inawezakana kabisa. Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo
1. Nimeshaona ndoa nyingi sana za watu ambao hali zao za kiuchumi ni za chini sana lakini wanaishi kwa furaha sana
2. Nimeshaona Wanawake wenye uwezo sana wakiwapenda wanaume wasio na hela wasio na mbele wala nyuma na wakaamua kufunga nao ndoa na wangali wanaishi vizuri
3. Nimeona wakaka wengi tu wenye uwezo wakioa wadada toka familia zisizo na uwezo na wakawa na maisha ya furaha sana.

Hivyo nachotaka kuhitimisha, mapenzi huwa hayaangalii sana uwezo na pesa alizonazo mtu, na ndiyo maana kuna watu waliooa/kuolewa na watu wenye uwezo na bado wanatoka nje ya ndoa zao na watu wasio na uwezo.

Ila nakubali kuwa Pesa inasaidia sana kumpata mtu kwa haraka zaidi hata kama hakukupenda, anaweza kujilazimisha na kujiweka karibu na kufake kila kitu mpaka umuone na yeye anakupenda pia. Ila mahusiano ya namna hii huwa hayana maisha marefu.
 

kwa maelezo yako hapo juu; 1, 2 na 3. Inaonyesha wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa maisha ya watu.
 
Think.........may advice is think again............. is your body not more than sex?
 
money is the only true love of my lyf......lol
 
pesa ndo kila kitu lkn mapenzi bila pesa ni sawa na kuwaza ngono unapokosa kazi ya kufanya mpwa.

Nakuhakikishia, mapenzi ya shetani ndo yanahitaji hadi mtu awe na pesa, lakini penzi la kweli lile Mungu alianzisha halihitaji pesa. Kwani Adamu na Hawa walipendana kisa pesa?.
 
kwa maelezo yako hapo juu; 1, 2 na 3. Inaonyesha wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa maisha ya watu.

Bwana mdogo, si kila kitu unachokizungumza unakifahamu kwa sababu wewe ni mfuatiliaji wa maisha ya watu, nazungumza pia kutokana na experience na mambo tunayokutana nayo kwenye maisha kwa kuishi miaka mingi!

Kwa kifupi kuna mambo ambayo tunayafamu kupitia sisi wenyewe, au kupitia members wa familia, wadogo na wakubwa zetu au majirani au kualikwa kwenye vikao vya kusuluhisha-Sisi wengine ni viongozi wa kata na mitaa! Hivyo kikubwa ni kusaidiana kuelimishana na kuelekezana badala ya kuanzisha au kuendeleza hoja zisizo na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…