Wakuu kuna hii site www.giveawayoftheday.com inayotoa free software moja kila siku, mi niliijua kupitia hapa jf. Nashauri hii post iwe maalum (special thread) kama ile ya arsenal/chelsea etc. Tuwe tunaweka software inayotolewa kila siku. Mie naweka hii AllMedia Grabber 5.1, kesho nawe ukiwahi tembelea hapa na utambie kuna nini give away