Giving Back to Bunge PrimarySchool

Giving Back to Bunge PrimarySchool

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
58
Wadau mamboz!

Najua kuna watu wengi ambao wamewahi kusoma shule ya msingi Bunge ambao ni wadau wa JamiiForums na hivyo wataweza kusoma wazo langu.

Jamani nilikuwa nafikiria tufanye kitu kwa ajili ya shule yetu ya zamani yaani Bunge Primary School.

Wadau mnasemaje?Suggestions...tufanye nini?
 
Back
Top Bottom