ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Aug 14, 2022 #41 Bro wa Keko said: Itikadi kali ? Click to expand... Wewe mwambie yeye akakukopee uone kama ataweza, zamani nilikua nahangaika na shida za watu nikajukuta mtu asie na furaha siku hizi kipaumbele changu ni familia yangu and I'm happy with that
Bro wa Keko said: Itikadi kali ? Click to expand... Wewe mwambie yeye akakukopee uone kama ataweza, zamani nilikua nahangaika na shida za watu nikajukuta mtu asie na furaha siku hizi kipaumbele changu ni familia yangu and I'm happy with that
Nguva Jike JF-Expert Member Joined Jan 22, 2018 Posts 1,226 Reaction score 1,757 Aug 15, 2022 #42 Mwambie mama yake arudi kijijini akalime
dadaake JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 1,125 Reaction score 1,108 Aug 15, 2022 #43 Bro wa Keko said: Niliwaza hivi pia ila mama kakaza ndo kwanza katuma mtu leo achukue passport za wife Click to expand... Mkeo ni mpole,nilivyo mkali hakuna mtu wa kuniambia huo upuuzi
Bro wa Keko said: Niliwaza hivi pia ila mama kakaza ndo kwanza katuma mtu leo achukue passport za wife Click to expand... Mkeo ni mpole,nilivyo mkali hakuna mtu wa kuniambia huo upuuzi