Giza la September

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Hili giza analosema Ngeleja kuwa litakuwa ni lazima nahitaji za ndanili zaidi
kuana nini au na yeye anataka kuwa kama Mr Dowans tuchimbieni za ndani zaidi
 
Hili giza analosema Ngeleja kuwa litakuwa ni lazima nahitaji za ndanili zaidi
kuana nini au na yeye anataka kuwa kama Mr Dowans tuchimbieni za ndani zaidi

Unawezakukuta huyu jamaa ana masters! bongo bwana
 
Nimesoma mara ya 3, na bado sijaelewa kitu. Wenzangu mnazungumzia kitu gani?, hebu tumieni kiswahili cha kawaida.
 
Unawezakukuta huyu jamaa ana masters! bongo bwana

Nani alikuambia kuwa hapa BONGO profession zaheshimiwa ili kupangiwa kazi: mfano Prof Sarungi (mtaalamu wa mifupa)=Waziri wa mawasiliano wakati wa Mwinyi; Bet Mkwasa (msoma taarifa ya habari)=Mkuu wa Wilaya wakati wa Lowassa; Prof Kapuya (mtaalamu wa Elimu)=Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira. Hata Tanzania mtu unapelekwa / unapangiwa kokote ukiweza sawa, ukishindwa poa, unahamishwahamishwa na kupatya posho za uhamisho, bora liende.....
 
yeye ni mwanasheria - na umeme wapi na wapi --

Shy, nani alikuambia kuwa hapa BONGO profession zaheshimiwa ili kupangiwa kazi, kalagabaho!!!Kuna mifano mingi tu ya mipangilio isiyojali profession, mfano Prof Sarungi (mtaalamu wa mifupa)=Waziri wa mawasiliano wakati wa Mwinyi; Bet Mkwasa (msoma taarifa ya habari)=Mkuu wa Wilaya wakati wa Lowassa; Prof Kapuya (mtaalamu wa Elimu)=Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira. Hata Tanzania mtu unapelekwa / unapangiwa kokote ukiweza sawa, ukishindwa poa, unahamishwahamishwa na kupatya posho za uhamisho, bora liende.....
 
Kumbe anazungumziwa mtu, na hili giza linalotajwa lina maana gani?
 
Nimesoma mara ya 3, na bado sijaelewa kitu. Wenzangu mnazungumzia kitu gani?, hebu tumieni kiswahili cha kawaida.

Wewe mara tatu mimi mpaka sasa sijaelewa kilichokusudiwa kuandikwa na mtoa mada ,mwanzo nilifikiri ni mtoto anaejifundisha kusema ,nikaona asingeweza kuandika nikamalizia kuwa ameandika kilugha ,ila sijapa ni kabila gani πŸ˜€
Wengine wanasema tembea uone mambu lakini naona hata ukijiunga kwenye forums utaona maajabu πŸ˜€
 
Shedafa na Mwiba, naungana na nyie mana kila niliposoma sikuelewa zaidi ya mara tatu mpaka nikangoja watu wachangie lakini ndo kabisaa mchanganyiko zaidi..
 
Shedafa na Mwiba, naungana na nyie mana kila niliposoma sikuelewa zaidi ya mara tatu mpaka nikangoja watu wachangie lakini ndo kabisaa mchanganyiko zaidi..

Nafikiri tusaidianeni kuiweka sawa ile mistari kama tutaweza mambo mengine mtihani.
 
sio lazima mtu awe amesomea hicho kitu ndio aweze kuongoza, anachotakiwa awe kiongozi mzuri anayejua public policy na awe anaipenda nchi yake
1. gordon brown alikua waziri wa fendha mzuri na alikua amesomea history...
2. waziri wa fedha sasa hivi wa uk ni lawyer
3. waziri wa afya si daktari

hata apa uk ukimaliza degree ya kitu kingine unaweza kuajiriwa maswala mengine. engineer akawa banker. watu wengi ambao wanafanya kwenye hedge fund ni ma engineer backround yao.

matatizo ya ngeleja sio utaalamu bali ni rushwa, dowans ni wizi na sio utaalamu
 
Labda alikusudia :- Hili giza analosema Ngeleja kuwa litakuwa ni lazima , nahitaji (habari) za ndanili (ndani) zaidi
kuana nini kuamini au na yeye anataka kuwa kama Mr Dowans tuchimbieni za ndani zaidi ____________Nafikiri nimeiweka sawa maana sikuwahi kufeli somo la kiswahili.
 
Pengine hivi!

Still it does not easily make sense! Inaelekea wengine tunaingia jamvini tayari tukiwa 'chicha'πŸ™‚!
 
Pengine hivi!

Still it does not easily make sense! Inaelekea wengine tunaingia jamvini tayari tukiwa 'chicha'πŸ™‚!
Unajua mtoto wa darasa la tano anaweza akakuwekea sawa hiyo sentenso lakini hapa JF si ajabu wengine wakakuambia ameandika sawasawa na watu wamejadili na kuendelea na mjadala ! Na ushahidi wakaweka kabisa kuwa kijana hana kosa.
 
Pengine hivi!

Still it does not easily make sense! Inaelekea wengine tunaingia jamvini tayari tukiwa 'chicha'πŸ™‚!

Mkuu; sentensi imekaa kichina-china... halafu nashangaa mods wameiacha! duh!!!
 
Mkuu; sentensi imekaa kichina-china... halafu nashangaa mods wameiacha! duh!!!

Ni bora akaiachia inachangamsha akili ,yaani jamaa wengine wanakuja hapa kutoa mitihani ,si kunasifika kuna wasomi na mapro wa luga ,hicho kindende sasa kinahitaji mbinde maana ukijua ngendembwe utakutana na ngalambe πŸ˜€ tunachangamsha akili baada ya kuona Chadema ni ndumila kuwili πŸ˜€ ingawa wanajaribu kujipapatua. Ila kwa kuongezea tu pingine moderator nae yuko katika kuiweka sawa ni moja kati ya kuweka sawa mambo sasa hapa sio jamaa ameteleza mikono bali na control pia inaonekana haipo
 
Mzee nimekusoma upande wa kwanza, ila hilo la chadema sina kauli kwani na yenyewe yaweza kuwa tungo tata

turudi kwenye mada, huyo jamaa anasema nini kuhusu giza la septemba?
 
Mzee nimekusoma upande wa kwanza, ila hilo la chadema sina kauli kwani na yenyewe yaweza kuwa tungo tata

turudi kwenye mada, huyo jamaa anasema nini kuhusu giza la septemba?

Itabidi mamoderator wakusanyane ili kutuwekea sawa ,inaelekea jamaa ametumia msamiati au lahaja au kiswahili cha zamani ,huwezi kujua na hajulikani alipo kapotea kama dereva wa bajaji πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…