Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Asante MkuuPoleni
Yaani Mimi ndo hapo viongozi wetu siwaelewi. What are our priorities? Imagine dar hata Umeme wa stand ni changamoto, uchafu kila kona, maji ya shida, usafiri wa umma shidaβ¦the list is endlessβ¦ila sasa Unakuta viongozi wameshupaza shingo kukimbizana na dada poa!Stendi ya Daladala Mawasiliano taa hazifanyi kazi, yaani haziwaki, na ali hii imekuwa ikitokea mara kadhaa majira ya usiku na hivyo kusababisha...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa huo mkoa mnaogopa hadi giza...[emoji848]
Mkuu acha majungu basiWanaume wa huo mkoa mnaogopa hadi giza...π€
Kwani wewe upo mkoa gani mkuu.Wanaume wa huo mkoa mnaogopa hadi giza...π€
Mpigamiti hapa jirani na Ibologelo ya huku Masaki...πKwani wewe upo mkoa gani mkuu.
Halafu Dar es Salaam siyo mkoa ni Jiji
Masaki ya wapi?Mpigamiti hapa jirani na Ibologelo ya huku Masaki...π
Hata taa za solar zinahitaji dokezo? Wafanyabiashara si wajiongeze tu hapo, maana mambo mengine kushabikia ni upuuzi.Dokezo la kuwekwa taa lilishapelekwa kwa mamlaka husika kwa hiyo Halmashauri ipo katika hatua za kulitatua hilo tatizo
Taa za solar zipo nyingi kubwa na nzuri tu, huhitaji generator.Wahuni ushuru wanachukua ila kuweka Generator la diesel usitegemee kama hicho kitu kitafanyika muhuni anaona mbona nyumbani sina kwa nini niiandike ili awa wapate Kilimanjaro Airport umeme ulikua unakatika KLM inaenda kutua daslm au Entebbe hapo kwenye Bus hakuna anaewaza...
Ni kweli mkuu na gharama nafuu ila sijajua zinadumu kwa muda gani maana siziamini kivile...Taa za solar zipo nyingi kubwa na nzuri tu, huhitaji generator.
Ndivyo Serikali inafanya kaziHata taa za solar zinahitaji dokezo? Wafanyabiashara si wajiongeze tu hapo, maana mambo mengine kushabikia ni upuuzi.
Masaki ipo mbagala rangi3 mkuu...ππMasaki ya wapi?
Bora sisi tunaogopa giza ha ha ha kuna wanaume wa mkoa flan walilazwa saa 10 jioni na mtoto wa miaka 19.Wanaume wa huo mkoa mnaogopa hadi giza...π€
Chalamila mbona anaitwa mkuu wa mkoa na sio mkuu wa Jiji?Kwani wewe upo mkoa gani mkuu.
Halafu Dar es Salaam siyo mkoa ni Jiji