ndio ... ... giza lina source...... ambayo ni negative energy, kama ilivyo jua na nyota zinavyotoa mwanga ndivyo kuna jua na nyota zinazotoa giza.Ebu mjibuni jamaa mwanga una source je, giza source yake ni nini?
Giza ni matokeo ya dunia kujizungusha kwenye mhimili wake kutoka magharibi kwenda mashariki na wakati inazunguka ndio inasababisha day and night yaani inapokuwa upande wa jua inakuwa mchana isipokuwa upande wa jua inakuwa usiku hence inasababisha giza
so kwa ufupi giza ni matokeo ya uso wa dunia kutopata mwanga wa jua
Unachanganya usiku, mchana, Giza na Mwanga. Usiku kunaweza kuwa na Mwanga vile vile mchana kunaweza kuwa na giza.
sijachanganya mkuu ila nimemjibu kama mtoa mada alivyouliza swali kama ulimwelewa mtoa mada kuna hii sentesi aliandika "
Inavyoonekana kuna vitu tunaviona kila siku mfano giza lkn mtu ukimuuliza hicho ni nini anashindwa kukujibu au hakujibu kiufasaha." maana yake anataka kujua kwanini Giza linatokea hence usiku[/
Giza linatokea pale Mwanga unapokosekana iwe mchana au usiku. Sio kwamba eti usiku ndio Giza na wala sio kwamba mchana ndio Mwanga. Usikariri
Habari zenu wana JF,
Ningependa kwa wanaojua maana ya giza ni nini wanijuze nilisha tafakari nikakosa majibu na hata nilishawauliza baadhi ya watu waliishia kuguna tu.
Inavyoonekana kuna vitu tunaviona kila siku mfano giza lkn mtu ukimuuliza hicho ni nini anashindwa kukujibu au hakujibu kiufasaha.
Na lingine la ziada ni je giza huzalishwa kama mwanga unavyozalishwa na jua? Na kama giza linazalishwa, je linazalishwa na nini au linafanyikaje?
Ni hayo tu wadau naomba kuwasilisha..
Alele. Colombo. Mogoka. Kangeta.Giza ni aina fulani ya mirungi inayolimwa kwa wingi huko Meru Kenya, mimi huitumia kila jumamosi kuanzia jioni, huwa inanipa mzuka ku party from dusk till dawn.
Tru sayNi kutokuwepo mwanga.
kuna kuwa na totoro..mhmm jingine la kizushi kukiwa hakuna giza wala mwanga kunakuwaje?