Kwani Gk ndio nani,ni mfalme kwake yeye
Ni mtazamo wake tu!!GK ni crazy wa East Coast ya Upanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] agiza unachotaka mkuu kwa bili yangu nitalipa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Jina lake linatosha kuelewa aliyeongea ni nani.
KING CRAZY = MFALME WA VICHAA/MACHIZI ni.
G.K = Gwamaka kaihula.
Sasa chizi akiongea kitu kisha ukakiweka akilini basi wewe ni afadhari ya yeye.
huyu gk atakua ni mfalme kwa ma-house girl wake.Mkongwe huyo wa mziki ameyasema maneno hayo katika kipindi cha MY PLAYLIST knachotushwa na clouds tv, aidha amesema kuwa Alikiba ni mwanamziki anaejielewa, mwenye sauti nzuri na anejua kuitumia vilivo, ametumia muda huo kuongelea wimbo wa AJE kwa kusema kua ni wimbo ambao hauchuji haraka kama wengine, pia amesema kua wimbo wa AJE kila siku ukiutizama na kuusikiliza unagundua kitu kipya tofauti na ulichoona au kusikiliza jana.
Hongera mfalme Kiba kwa kutoa nyimbo zisizochuja haraka kama wale pia kupongezwa na wanamziki wakongwe wanaojua historia ya mziki wa bongo na walio kwenye mziki muda mrefu kama GK.
Chanzo: Clouds tv
Sio kweli kwamba Ali Kiba ndo mfalme wa bongo fleva.Yani wanataka watu woooote wamsifie msanii wao tu....THAT WILL NEVER HAPPEN
crazy doesn't only mean a person with a mental problem, but also a person who is looking after something with determination, periodJina lake linatosha kuelewa aliyeongea ni nani.
KING CRAZY = MFALME WA VICHAA/MACHIZI ni.
G.K = Gwamaka kaihula.
Sasa chizi akiongea kitu kisha ukakiweka akilini basi wewe ni afadhari ya yeye.
Kila mtu ana mtazamo wake linapokuja suala la wasanii...Kila mtu ana ladha yake anayoipenda...So yeye katumia haki yake kusema anachokipenda nankukiona bora...By the way, hiyo ufalme naiona kwenye title ya thread but kwenye quotation ya maneno aliyoyasema GK siioni...Sio kweli kwamba Ali Kiba ndo mfalme wa bongo fleva.
Sio kweli kwamba kila anayemkosoa Kiba ni team Diamond