GK: Sifanyi show chini ya 30million Tsh.

Nakumbuka 1997 mpaka 2004 hivi huyu jamaa alikuwa maarufu mjini hapa.
Kweli zama zimesogea. Ujanja ilikuwa kuvaa tshirt za East Coast.
Kwa sasa umerudi kipindi kigumu maana wengi wanadhani ndio unaanza muziki na vijana waimbaji wapo juu sana.
Wrong timing....
 
Anarudisha jina kiujanja, si unaona tunavyomjadili[emoji38]
 
Ningemuuliza ni lini kwa hivi karibuni amefanya shoo yake binafsi na kuingiza hata laki tano?

Hizo zinaitwa Kick za wendawazimu, kwa sasa Crazy GK hana tofauti na Wema Sepetu, maana naye anadai alitaka apewe 60milion ili awepo kwenye Video ya wimbo wa Salome iliyofanywa na Diamond. Wakati wazinifu wanaomjua vizuri Wema wanasema kwa sasa hata chini ya Elfu Hamsini unapewa 'Mzigo' fresh kabisa na Wema.
 
Ye kataja bei yake, sasa wewe kama unaona nyingi sema una shilingi ngapi? Biashara maelewano, sasa hasira za nini?
 
Kwa wale wasiyomjua GK.... hapa yuko na AY na Mwana FA.

Sister sister

Nitakufaje

Huyu jamaa siyo wa kubeza, katika muziki wa rap bongo ametoa mchango mkubwa akiwa na East Coast Crew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…