Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mchekeshaji na muigizaji ambaye anamiliki kipindi Chake Cha uchekeshaji Cha Kitimutim kupitia DStv maisha bongo mwanadada mrembo na mwenye mvuto wa aina yake Gladness Kifaluka.Ndio mwanadada pekee bongo mchekeshaji mzuri.

Hiv karibuni amefanya interview na Moja ya chombo Cha habari na moja ya swali aliloulizwa je unaweza kumwacha mwanaume aliyekucheat? Akajibu siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka Kama ananiheshimu cos wanaume asilimia kubwa wapo hivyo

Akaulizwa pia je umewahi kumfumania mwanaume wako? Akajibu ndio niliwahi kumfumania akiwa na mwanamke baada ya kufika nilimchukua mwanaume wangu na sikufanya chochote nilichopendea pale nilipotokea tu Mwanaume wangu akamwambia yule mwanamke huyu ni mke wangu ndo tukaondoka.
 
Kinadada igeni mfano wa huyu mwenzenu, sio mnaleta fujo kama mmepewa hati miliki ya hizi Abdala zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…