Glasi na bilauri

Glasi na bilauri

Jalema

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
594
Reaction score
868
Wadau nimeikuta kwenye televisheni mtangazaji aliuliza mwishoe hakutoa jibu. Binafsi sijui

Nini tafauti kati ya glass na bilauri?

POVU RUKSA
 
Glass ni la kioo yaani lile unaloweza kuona kitu kilichopo ndani......bilauri ni la plastic kama yale mabilauri ya babu wa loliondo nadhani....

Nb:Sio lazima ulikubali jibu langu
 
Bilauri ndio glass, katika lugha tofauti.
 
Back
Top Bottom