Glass ni nusu wazi na sio nusu full

C_O

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
54
Reaction score
33
Billioni 1.1 ni watu waishio afrika na zaid na millioni 150 ni watu waishio EAC pia na watu zaidi ya million 56 wanaishi Tz
Na pia katika hizoo idadi kubwa ni vijana sasa nakuuliza ww kijana unaamin kuwa glass is half empty or glass is half full??...
Mimi binafsi naamin kuwa glass ni nusu wazi.. vijana tuna fulsa kubwa sana na pia tuna jukum kubwa sana basi tusaidiane wote kwa ujumla kulfikisha gurudum hili linapo takiwa kufika tusiwe na vijana wengi weny degree afu sio smart na walio elimika vizuri tusirudie makosa au maisha ya wazee na wazazi wetu nazani hicho ndo kilicho wafnya china wafke pale walipo

It is concern with business
 
Bado unaendelea na kazi Dar au umerudi kigoma? Usisahau kupita Wasafi Studios
Usafi pale WCB kuna kaka yangu wa damu kabisa, siku moja nitaenda kuonyesha kipaji changu [emoji41]
 
Bora tu januari imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…