GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

esc343

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
354
Reaction score
581
Pata updates za tuzo za soka za bara la Africa. Ambapo kwa mara ya kwanza, Tanzania inawakilishwa na Mbwana Samatta.

==============



========
UPDATES..








=============

Mbwana Samatta anatengeneza historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika wa ndani ya bara.

Samatta ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo jijini Abuja, Nigeria..






Kutoka JamiiForums: Hongera sana Mbwana Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania. Hakika tunajivunia kuwa nawe!
===============

2015 GLO CAF Awards: Aubameyang, Samatta rule Africa
 

Attachments

  • 12510403_1021790907864327_2996050300771470052_n.png
    66.5 KB · Views: 132
  • Screenshot from 2016-01-08 07:58:50.png
    128 KB · Views: 136
Last edited by a moderator:
Kwa wale wa DSTV pekee inaonyeshwa Supersport 4 n 9
 
Pata updates za tuzo za soka za bara la Africa. Ambapo kwa mara ya kwanza, Tanzania inawakilishwa na MBWANA SAMATTA
Endelea kutujuza, wamefikia wapi mpaka saa hivi?
 
Raisi wa CAF anatoa speech
 
Bado hawajaanza kutoa awards
 
Bado hawajaanza
Sasa hivi kundi la black mamba la SA ndio lina perform
 
National team of the year - Ivorycoast
 
Coach of the year Herve Renard. Alikuwa anafundisha Ivory Coast
 
Women's player of the year - Gaelle Enganamouit (Cameroon)
 
Yaani mwendo wa west africa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…