Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
i thought the same thingMmmmh Forever inarudi kwa mlango wa nyuma
alafu kila mtu pale anaona kumili gari kama katusua maishaSio utapeli mkuu.ila n biashara ngumu kuliko inavoonekana rahisi hvo.Ingia mtandaon google pyramid schemes businesses utaona ni nini.
Binafsi sikushauri ukamatike mkuu hyo laki 5 heri fungua hata genge eneo lililo changamka uta groom.usishawishike na maneno mazuri na warembo wanaowaweka
Kwani forever living imekufa ?Mmmmh Forever inarudi kwa mlango wa nyuma
Mpaka ife, si inaongeza kampuni chiefKwani forever living imekufa ?
Wanavaa vizuri kinoma na vigari vya kukodi..wewe ulishaona wapi watu wanaitana sehemu kwenye hela,labda kama ni ndugu yako wa damu kabisaalafu kila mtu pale anaona kumili gari kama katusua maisha
Mkuu hio biashara ipo lakini tatizo hizo product zao haziuziki kwa mazingira ya bongo..baada ya kuwa jobless kwa muda mrefu leo.. kuna jamaa kanipeleka makumbusho kweny ofisi za alliances global.. hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.. baada ya hapo inabidi utafute watu wa wili wajiunge chini yako na unapewa products zao kwa ajili ya kuuza, au kutumia...utaanza kupiga pale walio chini yako nao wakileta watu... kwa kifupi mutengeneze chain fulani.... products zao wanadai zinasaidi matatizo mengi ya kiafya.... je hao watu ni matapeli?
du kweli mjini ShuleMkuu hio biashara ipo lakini tatizo hizo product zao haziuziki kwa mazingira ya bongo..
Pia kuleta watu wawili ndipo tatizo linapoanzia mwisho wa siku utaonekana tapeli wewe kwa hao watu wawili utakaowapeleka..
Kama una uwezo wa kupata laki 5 ni bora ukomae na mishe nyingine..
Nina mwana wangu mmoja huu mwaka wa 2 yuko allience lakini hakuna kitu alichopata
Mimi mwaka 2015 niliungwa na nshu moja inaitwa icharity nikatafuta watu watano nikawaunga nikapiga faida ya laki 2 kwa siku moja tu.du kweli mjini Shule
Mimi niliwaogopa walinikuta moshi nikawakimbia eti ukijiingiza hutoki milele hata ukitaka eti hata ukifa ndugu na kizazi chako wanaendelea nayo dah niliwaogopa kabisabaada ya kuwa jobless kwa muda mrefu leo.. kuna jamaa kanipeleka makumbusho kweny ofisi za alliances global.. hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.. baada ya hapo inabidi utafute watu wa wili wajiunge chini yako na unapewa products zao kwa ajili ya kuuza, au kutumia...utaanza kupiga pale walio chini yako nao wakileta watu... kwa kifupi mutengeneze chain fulani.... products zao wanadai zinasaidi matatizo mengi ya kiafya.... je hao watu ni matapeli?
HaaaaahaaaaaaaMkuu achana nao haraka. Huo ndio mfumo wa desi ulivyokuwa ila hawa wameboreaha na kuweka hizo product zao.
Kimbia sio wema hao.
Kweli kabisaMmmmh Forever inarudi kwa mlango wa nyuma