Global firepower 2018 KDF bado ndio baba na mama wa EAC

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Leteni nyokonyko au tuombe mechi ya kirafiki...... Na msilete historia za mababu eti Idd Amin mara majimaji rebellion, au wale child soldiers wa M23 tunaongea kuhusu modern military warfare.
Vita vya sasa balaa, adui ni mtu anayekuja kujilipua lipua hata kabla hamjaanza vita...keshaamua liwalo na liwe aende ahera..

Kenya namba 85 - bajeti $595,000,000
Uganda namba 93 - bajeti $280,000,000
Tanzania namba 98 - bajeti $220,000,000

Full list 2018 Military Strength Ranking
 
Utafanje sasa lazima uongeze bajeti yako na vifaa al shabab wamewakalia kooni pambaneni tu na hali zenu uzuri marekani wanawasaidia sana kuwapatia vifaa vyao viwasaidie. Tz na Ug hatupo vitani na yoyote hivyo hatuna sababu ya kutenga bajeti kubwa kijeshi.
 
unazungumza kana kwamba hujui kuwa Kenya ndio inazuia magaidi kufika humo na pia Uganda...bila Kenya alshabaab wangeingia kote mpaka tz, hivyo mna memngi ya kutushukuru...wangekuwa wanaingia nchini wanatoa tanzanite wanaenda kuuza..huo ukuta ungelipuliwa ubaki vumbi
 
Mwana povu wa kwanza atakuwa ni mbongolala.
 
HAKI KWELI UJINGA NI MZIGO SASA TUWE NA BAJETI KUBWA YA JESHI KWANI TUNA VITA AU TUMEVAMIWA NA MAGAIDI SISI TUKO BUSY NA SGR, DREAMLINERS NA DODOMA CITY PROJECT+ BAGAMOYO PORT(ABP)
 
Ha ha ha ha malizanen kwanza na hao wanamgambo wa kisomali ndio mje kwetu.
 
Weee nyie mna ugomvi na alshabab mlipeleka majeshi yenu kule somalia,,Tz hatuna ugomvi na alshabab tafadhali usituhusishe
 
Tunakamata maelfu ya wa Ethiopia na wasomali kila siku Tanzania_ na wanapitia Kenya huko Mombasa.. Imagine watu mamia wanapita Kenya bila hata nyie kujua halafu mnajisifu na bajeti?? Sisi hatuna vita wala hatuko involved with any regional conflicts sasa bajeti yote ya Nini? Ukisoma ripoti ya mwaka Jana utaona hatukununua chochote yani Zero procurement. Hiyo Pesa tuliyo save imejenga viwanda vya jeshi vya kuzalisha Bidhaa ikiwemo maji na small arms..
 
"I don't know whether war is an interlude during peace, or peace an interlude during war." - Georges Clemenceau
 
Zinakuaga za kuuzia sura mbona wale jamaa wanakuja hadi kuhubiri kwenye misikiti yenu na kuwategea mabomu hizo vitu haziwamalizi
 
Hivi hio global firepower ranking hujui ni uongo mtupu? Ni nani anayeandika hizo information? Mkenya unadanganyika

After all no country discloses proper information regarding firepower and militia issues.
 
Knife wielding thieves in Congo expose how weak your rag tag army is.
How many kenyan soldiers have died in the hands of bare footed starving al-shabaab? Which war did kenya won?
 

Hata wafike TZ ama UG kwanza si lazima watakuwa wamepitia kenya.
 
Kwa kuiba vitu supermarket?
Tell that to Al shabab
 
If the numbers happen to be real, they are embezzled. Weak Kenya, poor Kenya and her poor army can't go toe to toe with Tanzania. A country with no real foundation can't become a leading figure in EAC. Who was Kamau Ngegi? Was he even someone before becoming a puppet president? Some peasant child becoming a leader of a nation, no wonder he installed tribalism. Weak, political unstable, poor Kenya can only lead in Propaganda. All it takes for Kenya to go to war with itself is a Luo president in office, how can you claim superiority with such an unstable atmosphere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…