Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Hivi jamani hawa jamaa wa Global Publishers(chini ya E.J.Shigongo) wametibuana nini na Orijino Komedi ya kina Masanja???,maana sasa hivi kila kukicha unakuta magazeti ya GPL na mtandao wao utakuta wameandika habari ambazo kwa kiasi kikubwa zinakuwa na lengo la kuiangamiza Orijino Komedi(kwa mtizamo wangu),imefikia hatua jamaa wa GPL wameweka mada kwenye mtandao wao ambayo inawataka wasomaji wa mtandao huo kutoa maoni juu ya ufanisi wa Orijino Komedi walipokuwa EATV na sasa walivyo TBC1,kwa mfano angalia habari hii www.globalpublishertztz.com/2009/01/03/changia_mada_ya_leo.html#comment pia habari hii Global Publishers - Tanzania Newspapers na hii http://www.globalpublisherstz.com/2009/01/03/komedi_wizi_mtupu_wazua_kizaazaa_kariakoo.html ...Hivi tatizo nini hasa jamani???,ni Orijino Komedi ama GPL????