Glock 17 kama ya Sabaya

Glock 17 kama ya Sabaya

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Ila yeye kasema mahakamani Glock 17 sio bastola ni kachuma tu kadogo kakujilinda.
IMG_20210819_170522_874.JPG
 
Sabaya atakula matunda ya ujinga wa kumuabudu jiwe na alivyokuwa zoba wala hajutii makosa yake bado anajiona yeye ni special kama alivyoaminishwa na mungu wake jiwe.
Akiingia pale mahakamani ana bashasha kama vile hajawahi kuwafanyia watu kitu kibaya
 
Back
Top Bottom